YUDASI KWA KAISARI — Cantiques EUJC

N° 263

YUDASI KWA KAISARI

1.

Yudasi kwa Kaisari Yudasi "kauzisha yesu kwa vipande salasini via feza (kweli Yudasi )"2x

Refrain

Yesu kamwambia yuda yudasi wewe , yudasi wewe kweli ole wako wewe .

Commentaire

Com : -Heri usingezaliwa Yudasi wewe , yudasi wewe kweli ole wako wewe .

-Heri usingejuwa neno

-Heri usingejuwa siri

2.

"Mbele ya Yudasi mufalume kashikwa mikononi mwa watu wale "2x

-Musalaba wa kamutwika bwana yesu kabeha

-Taji la miiba wa kamuvuika bwana yesu kateswa

-Mizeledi wa kamupika bwana yesu kalia ole wako Yudasi.

3.

Yudasi kachukuwa feza katoka nyumwani yudasi akatoka inje yudasi akajitundika.

Commentaire

Com : -Yuda musaliti akatoka inje yudasi akajitundika.

-Mupenda wa feza "

-Natumbo kapasuka "