KIWETE KATIKA YERUSALEMA — Cantiques EUJC

N° 267

KIWETE KATIKA YERUSALEMA

1.

Kiwete katika yerusalema wafuasi wa yesu wakamuponya kiwete saa tisa hekaluni.

Refrain

Ah ! kiwete yoyoyo akenda (kiwete) na shangwe (kiwete ) akiruka akanena aleluya bwana kwelina farijiwa.

2.

Petro akamujibu mimi sina zaabu wala na fez aila kwa jina la yesu kiwete simama wende zako.

3.

(Watu) waliona mutao waliona kiwete akenda akiruka wakanza mushangao wakimustajabia.