BETANIA — Cantiques EUJC

N° 271

BETANIA

1.

(Betania ), betania ni mujini wa Martha na Mariamu na ndugu zao Lazaro yuna , yuna mufano wa mutu yuna hekima ya mwili na uzima wa milele.

Refrain

Aah Aah Lazaro mwenye taabu wajoli na mwenye mauti tunae mutabisha, Sisi watu kwa kuwa katika uzima haba wa duniani Lazaro uko na tabika wandugu tazameni tamaa zenu wajoli ndizo zimuwazo.

Commentaire

Com :-Kupenda ulozi tamaa zenu wajoli ndizo zimuwazo.

-Kupenda macheo " " " " " "

-Enyi wafumu awa " " " " " "

2.

(Kuna) kuna hekima ya mwili inamutabisha Lazaro na kumukata kwa jeraha ,mutajiri, mutajiri mezani Lazaro yuko inje akiwa akila magombo bwa kamu ramba na akafa.

3.

Ndugu zangu, katika bwana Maria aketi mezani Lazaro ale anywe kwa shangwe Marta, Marta aketi mezani akumbukapo mutajiri alipoona Lazaro kifuwani mwa Abramu .