NITAMWAGIZA NANI JAMBO — Cantiques EUJC

N° 273

NITAMWAGIZA NANI JAMBO

Refrain

Nitamwagiza nani jambo wote wanena yangu nitamwagiza nani jambo kwa jina lako wanipiganisha (mimi) jehova mungu mateso mfulalume mateso Eh baba bwana wangu mateso mfulalume wangu mateso.

1.

Katika uduma hizi wa nena nyingi njiani pia wa nena yangu nyumbani mwetu wanisengenya jehoa mungu mateso mfulalume wangu mateso.

2.

Mataifa unishangaa ngombe nazo uniepuka mbuzi pia unizarau na kondo unisingizia jehoa mungu mateso mfulalume wangu mateso , eh baba bwana wangu mateso mfulalume wangu mateso.

3.

Panya ulia swi swi , umbwa naye unizunguluka nguruwe muchafu unitekenya mamba majini unisagiya meno jehoa mungu mateso mfulalume wangu mateso eh baba bwana wangu mateso mfulalume mateso.

4.

Kunguru unifwata ndege huu tausi unifata panzi na nzige utuliya kwangu viote nyuma yangu vikani fwata behova mungu mateso mfulalume wangu mateso eh baba bwana wangu mfulalume wangu mateso.

5.

Yesu unena mimi na tabika aba yani baba mfulalume wangu mateso yesu unena baba uwa rehemu wana awatambui kile walifanyalo jehoa mungu mateso mfulalume wangu mfulalume wangu mateso eh baba bwana wangu mateso mfulalume wangu mateso.