KIASI NI TUNDA — Cantiques EUJC

N° 275

KIASI NI TUNDA

1.

Kiasi ni tunda , kiasi ni tunda , kiasi ni tunda ya shinda mengine matunda Yuda akasaliti mwana wa mungu hakuwa na hatia "Hakujizuwiza akilini , akujizuiza kinywani akujizuiza kwa tendo."2x

Refrain

Mwana mungu kasononeka wafwasi wote wenye kulala amkeni mwabuduni musianguke majaribuni yesu akalia kweli yoyoyo kweli yakini jasho na damu vikamutoka wafwasi wote wenye kulala amkeni mwabuduni musianguke majaribuni.

2.

Yuda na akisikitika , yuda naye akisha kwaribu , shetani kaombae wafwasi awapepete kama ngano yesu kawaombea imani ya petro isipunguke ""Kwa kuburudisha nafsi ya wafwasi wa yesu wasije wa kahuni "2x

3.

Tufungeni misipi tuvaeni viato tuchukuwe bakora kwa sisi kushindana halaleni tuchukue nyundo mikononi na vita ni neno la mungu haki katika mateso imani nayo ni ngaho yaku kwa kuhepa mishale.