RAFIKI TUJIUZIE — Cantiques EUJC

N° 276

RAFIKI TUJIUZIE

1.

Rafiki tujulize , tujulize ya kama sisi twaishi jamaa gani wakati twa jitolea kwa shetani mikatali ilio fungwa na bwana mungu.

Refrain

Ah aa kristu amekwisha kuja atuokowa akaja kwetu na huru yeye atupe uzima bali tuwe na uzabiti sisi tusi rejeve chini ya kuongola mauti na ya shetani.

2.

Jehova alizidi kutupenda kristu alikuja kutufia.