N° 279
JUA LIMEPANDA
1.
"Jua limepanda falme nazo dijandaa"2x "Jehoya mungu uje leo uje upikane vita"2x
Refrain
Eh mumbaji wangu , mumbaji wangu na teswa sana tuma malaikawaje wapikane vita
2.
Nimepiganishwa jioni na usiku , nimepiganishwa jioni na usiku "Njia zime fungwa falme nazo ziaanda "2x
3.
Jehova nina kuombae nina kuomba uniondoshee mwiba "Ili ni ishi salama ,ili niishi salama"2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Utume na Mikaeli tuma malaika wako waje wapikane vita
-Utume na Samsoni
-Utume na Gideoni
-Utume na Kasieli