BWANA MUNGU USIKIE NINAYO OMBA KWA RABI — Cantiques EUJC

N° 282

BWANA MUNGU USIKIE NINAYO OMBA KWA RABI

1.

Bwana mungu usikie ninayo omba kwa Rabi wako "Ibrahimu na Danieli weko daima mbele yako"2x

Refrain

Kwa damu , kwa miungu atushushue ( madui miongoni mwetu sisi) madui ni watu wa dunia "Jehova mungu wasije kushikwa wana kuko nyama "2x ( Eh mungu wangu)

2.

Mola si tu wana wako vifaranga viako kweli viko daima mbele yako.

3.

Jua ni mwanga wa watu wote umetoka kwangazia kwa wana walio wako.