EWE MALAIKA WA NURU MIKAELI — Cantiques EUJC

N° 288

EWE MALAIKA WA NURU MIKAELI

1.

Ewe malaika wa nuru Mikael iwa vita unijaze nguvu niwe hodari kwa vita "Niwe mushikwa vita niwe mushinda duniani "2x

Refrain

Uduma zako zitasimama imara hadi ufalme wako utujie duniani.

Commentaire

Com : -Utukuzwe baba hadi ufalme wako utujie duniani

2.

"Walazi na wa chawi wamearibu uduma zako "2x baba nina kuomba onyesha uweza wako "Watu wote wakujue wewe mungu wa Elia "2x

3.

"Jehova mungu utume Mikaeli wako"2x atupiganie vita katika dunia hii.

Commentaire

Com :-Ya wa lozi wote atupiganie vita katika dunia hii

-Ya wa chawi

-Ya shetani baba