N° 296
VITA KUBWA NIIANI HUMU
1.
Vita kubwa njiani humu kupigwa kushutumiwa jehoa mungu kuja mufalme wangu kuja bwana hili nami nipate uzima.
Refrain
Eh jeho va mungu uzima wangu ni mikononi mwako bwana mungu mungu unichunge , at na walozi waje , uzima wangu nimikononi mwako bwana mungu ni chunge.
2.
Danieli pangoni mwa simba madui unitafuta mafalme nayo usonga bwana mungu mungu unikinge.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Ata wakituma pepo uzima wangu ni mikononi mwako bwana mungu unichunge
-Ata na wa chawi waje " " " " " " "
-Ata nikipiganishwa " " " " " " "
-Ata wakipiga vita " " " " " " "