MUNGU WANGU NIKUBALI — Cantiques EUJC

N° 297

MUNGU WANGU NIKUBALI

1.

Munguwangu nikubali , mungu wangu nikubali, jehova uokowe nafsi yangu mikononi mwa shetani tazama vifungo kweli ni vingi eh baba kwa uwezo wa shetani uokowe mwana wako.

Refrain

Kweli babangu mie nikubali , nikubali uokowe mwana wako , ewe mungu wa rehema uokowe utukufu duniani jina lako litukuzwe.

2.

Jaman iwa na nisonga kanisani wanisonga , Jirani wa nanisonga awa wote madui zangu taenda kweli kwa nani hakika ni wokolewe.