N° 300
JAMBO LENYE KUTUNGW A NA BWANA
1.
Jambo lenye kutungwa na bwana ndilo lifanyikalo bali lenye kutungwa na watu halifanyiki kamwe ( alisimame imara )
Refrain
Bwana uje uniongoze niende katika raha jambo lenye kutungwa na watu alisimame imara.
2.
Mungu alinena ukweli azwadi mbovu uwa moyo auwaye moyo wa mutu yeye ata ukumiwa.
3.
Falme zote za duniani zita gawanika kweli bali ufalme wa mungu baba hauwezi gawanyika.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand