N° 302
VITA KALI MU HADEZE
1.
Vita kali mu hadeze Vita kali mu dunia "Vita kali na mu anga vinazuru wanadamu "2x
Refrain
(Basi ) Mi naalika Mikael iwa mungu ushuke leo uwokowe wana wanalia "2x
Commentaire
Com : -Ni kipindi kya kkuonesha maajabu Ushuke leo uwokowe wana wanalia.
2.
Mitume wamesimama kwa kufanya huduma "2x ( kweli ) "Wakati umetimia kwa kufanya huduma "2x
Commentaire
Com : -Kizazi chai ne wakati umetimia kwa kufanya huduma
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Vita ya wafalme vita kali na mu anga vinazuru wanadamu
-Vita ya walozi
-Vita ya vizazi
-Vita ya wachawi