N° 310
KARIBUNI
1.
Karibuni , karibu ndugu zetu kutufikia kanisa la kristo amani ya yesu iwe nanyi karibuni karibu ndugu zetu.
Refrain
Njoni wote , njoni wote tu musifu , tumusifu mwana kondoo , kondoo wa mungu aleluya , aleluya , asifiwe , asifiwe ametufikishia wa ndugu.
2.
Wageni wetu tuna furahi sana kutufikia kanisa la kristo amani ya yesu iwe nanyi karibuni karibu ndugu zetu.
3.
Twaona kweli wamupenda mungu awabariki kwa safari yenu musimuache kwa kurudi kwenu ndie yeye muchungaji mwema.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand