N° 311
NDUGU WAGENI
1.
Ndugu wageni simameni wote tuwapokee tuwa salimu katika jina la bwana yesu mwokozi wetu na mumba wetu.
Refrain
Eh mwokozi , mwokozi wangu pokea sadaka yangu uyapokee baba muumba wangu. Eh mwokozi , mwokozi wangu pokea sadaka yangu minakusii eh baba muumba wangu.
2.
Eh bwana mungu nina kuomba kwa ajili yao wageni hawa uwapokee nyumbani mwako wapate wao kula na kunywa" 2x
3.
Binti ya farao amekuja leo kwa kujiosha katika maji umuongoze amuone mwana aliye fichwa miezi mi tatu.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand