TUDUMU KWA NEHEMA ZA BWANA — Cantiques EUJC

N° 313

TUDUMU KWA NEHEMA ZA BWANA

1.

Tudumu kwa nehema za bwana ili tuwe na umoja na katika kazi yake mungu tusimame imara.

Refrain

Tufanye uduma za bwana wajoli na tukubaliwe.

Commentaire

Com : -Kwa kufariji watu wajoli na tukubaliwe

-Kwa kupokea watu " " " " " "

2.

Tudumu katika mapenzi ya bwana tufanye uduma twendelee wote mu mapenzi yake tupate uzima.