HUDUMA ZOTE — Cantiques EUJC

N° 317

HUDUMA ZOTE

1.

Huduma zote za duniani (huduma) azikosi torati yoyo ndani yake "2x ndipo mungu akamupatia Musa eh Musa sheria izi kumi "nendeni muni hudumie "2x eh wajoli wangu .

-Bwana akanena kwa sheria zote ni tazigawa yoyo sehemu izi mbili "umupende bwana mungu kwa moyo wako wote , umupende jirani yako kwa nafsi yako yote "2x

Refrain

"Nahomi naye akanena" ewe Rutu wangu nimekwisha kuwa mukongwe rejeeni nyumbani mwa wa zazi , eé wajoli wangu rejeeni nyumbani mwa wazazi .

2.

"Rutu akaomboleza "2x Eh we mamangu sitakuacha kamwe nitaketi mahali uketipo nita vaa chochote uvaacho nita jilaza mahali ulalapo mungu wako alie hai ni wangu pia atatukirimiya wokovu atatupa uzima wa milele.

Commentaire

Com : -Mimi sina cha kukukabiza rejeeni nyumbani mwa wazazi

-Mimi " " kukulisha " " " " " "

-Mimi " " kukuvika " " " " " "

-Mimi " na wana waume " " " " " "

-Mimi " na A E

Eh wajoli wangu rejeeni nyumbani mwa wazazi