N° 318
KATIKA WINGI WA MAFUNUO
1.
Katika wingi wa mafunuo nilipewa mwiba mwilini mwangu nikasii mungu mara tatu aniondose mwiba .
Refrain
Kutaka ni kwangu , kutaka ni kwangu kutenda kilichema siwezi eh baba , eh baba ju ya nini ubaya ni ndani mwangu
2.
Nitazamapo katika viungo via mwili wangu naona baba minaona sheria nyingine kwangu .
Commentaire
Com :-Sheria nyingine kutoka kwa musa naona , naona kweli sheria nyingine kwangu
-Sheria nyingine kutoka ku jamaa " " " " " "
-Sheria nyingine kutoka ku marafiki " " " " " "
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Na madawa siache eh baba , eh baba ju ya nini ubaya ni ndani mwangu.
-Na bulozi siache " " " " " "
-Na chuki siache " " " " " "