SIKU ATAKUJA — Cantiques EUJC

N° 325

SIKU ATAKUJA

1.

Siku atakuja yesu mwana mungu sisi awa tutaenda kumusalimu.

Commentaire

Com : -Na wa baba wataenda kama utabaki sisi awa tutaenda kumusalimu

-Na wageni wataenda kama utabaki " " " " " "

-Na walozi wataenda kama utabaki " " " " " "

-Na wageni wataenda kama utabaki " " " " " "

Refrain

Alikeni bwana "mungu wetu njoo , mungu wetu njoni (jnoni leo , mufalmed njoni "2x

2.

"Ihii ni shangwe ya kutowa yowe "2x

Commentaire

Com :-Lubumbashi wa mufalme natoa yowe

-Kinshasa wa mufalme natoa yowe