NA MASWALI YAKO WEWE INAKUTABISHA — Cantiques EUJC

N° 329

NA MASWALI YAKO WEWE INAKUTABISHA

1.

Namaswali yako wewe inakutabisha "2x ndugu yangu usione fahari kwa mungu wa uzima .

Commentaire

Com : -Na bulozi bwako wewe bunakutabisha

-Na chuki yako wewe inakutabisha

-Na madawa yako wewe inakutabisha

"Ju ya nini usione fahari ya mungu wa uzima "2x Wakati umetimia kwa kumuhimidi

Commentaire

Com :-Tazama mafundisho ingaliko wakati umetimia wa kumuhimidi.

-Tazama wafundi wangaliko " " " " "

-Tazama waimbaji wangaliko " " " " "

-Tazama majulisho ingaliko " " " " "

Moyo wa wewe unakutabisha , moyo wako wakiburi una kutabisha ( ndugu yangu ) usione fahari wa mungu wa uzima.