N° 334
TWAONDOKA MULIMA WA SINAIA
1.
Twaondoka mulima wa sinai "Tukipanda mulima wa sayuni ili nipate uzima "2x
2.
Ulichaguwa mababu ulichaguwa mitume , "Unichaguwe na mimi ili nipate uzima "2x
3.
Si ajabu wewe kunichagua Ewe mumba wangu "Ila kwa rehema yako mimi tapata uzima "2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
**_Ref : Nauwa roho yangu ( mimi ) nauwa nafsi yangu "mimi nauwa mwili wangu ili_**
**_nipate uzima "2x_**