N° 340
YELLELELELE
1.
Ye lele lele ah! lele jambo gani eh ah lele , jambo lakushangza yesu alitufia ju ya zambi maovu nayo haikome ingali inaendelea.
Refrain
Tufanye nini "Twenende kwa mungu baba tutubu uwovu wetu tuzaliwe maradufu "2x
2.
Kwapa , kwapa ni vibaya tazama hali ya herode , herode kahamuruhivi wakate kichwa cha yoane waja na kwenye sahani.
3.
Herode ee , herode ee , herode , herode mutu wa bure , herode mutu muwovu , herode kahamuru hivi wakate kichwa yoane waje nacho kwenye sahani.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Dada yangu tufanye nini twenenda kwa mungu baba tutubu uwovu wetu tuzaliwe mara dufu
-Mama yangu
-Ndugu zangu
-Waminifu