N° 342
MUNGU KAMWAMBIA EZEKIELI
1.
Mungu kamwambia Ezekieli , Ezekieli chukuwa ngombo ule kula ngombo ninalo kupa mwana wa watu uwe mutumishi wangu.
Refrain
Kweli kweli Ezekieli akanena nipe ngombo eh baba niwe mutumishi wako.
2.
Alipo tumia ngombo ile ilikuwa utamu kinywani "Bali tumboni mwake uchungu Ezekieli akavumilia "2x
3.
Ngombo ni neno la mungu baba unapo sikia ni furaha bali kwa kulitimiza ni ngumu neno hili shida kwa ziki na mambo.
4.
Nanyi watu walio mu yesu shikeni shauri lake "musiwe wasikiaji wa neno tu wajoli nyinyi awa muwe watenda wa neno "2x
Commentaire
Com : -Waminifu wa neno musiwe wasikiaji wa neno tu wajoli nyinyi awa muwe watenda wa neno
-Enyi wafwatao wa neno " " " " " " "
-Kweli nyinyi awa " " " " " " "
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com :-Ngombo hii mafundisho la kwele.
-Mimi natarajia neno
-Ngombo hili mafundisho ya roho
-Ngombo hili neno la rohoni
-Nitafanya uduma