N° 343
NIHUBIRI NANI NENO
1.
Nihubiri nani neno , nihubiri nani neno , nihubiri nani neno mungu wa Yakobo.
Refrain
-Basi Rubeni kwa leo ameriti
-Basi Simeoni " " "
-Basi Lawi " " "
-Basi Mutume " " "
-Basi Nafutali " " "
-Basi Gadi " " "
2.
Kwa tamaa za feza na mambo ya dunia , ni hubiri nani neno mungu wa Yakobo.
3.
Dunia uje ulie , dunia uje ulie , dunia uje ulie mungu wa Yakobo , dunia uje ulie mungu wa Yakobo.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand