N° 344
BABA TUKUZA MWANA WAKO
1.
Baba tukuza mwana wako mwana pia akutukuze ulinipa mili yote ili ni wape uzima sababu akujue mungu wa kweli pia na yesu kristo niliwapa neno lako dunia ika wa chukia kwa kuwa wau si wa dunia hii.
Refrain
Kweli kweli , kweli nina wambia nyinyi atimizae neno langu yeye hataonja mauti ata kuwa na uzima wa milele ndani yake kweli.
2.
Tazama awa ulionipa sikupoteza hata mumoja ila mwana wa kuasi handiko ili litimie.
3.
Siombei dunia yote ila awa ulionipa pia na wengine wao watakao amini neno lako sisemi waondoe duniani uwakinge na shetani "Uwatakase kwa kweli neno lako ni kweli."2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand