N° 349
YONAE EH EH YONA
1.
Yonae eh eh Yona (e yona) "Nilikutuma ninawe yona kuokowa watu wangu "2x
Refrain
Basi tazama yona yeule chomboni kwelekeka tarasisi.
2.
Tufani kubwa kutumwa na bwana kutenkesha merikebu baharini wa baria na kapiteni ao wote ufazaika tujue jambo lililo miongoni mwetu tulipikie kura tuombe kwa mungu baba yona naye mu merikebu ya tarasisi kura nayo ka mwangukia.
3.
Sina jambo na mutu ni me hasi kinywa cha bwana munitupe baharini humo nyangumi majini kamumeza yona muda wa siku tatu bahari ikatulia , yana eh yona ah yona katubu ndani ya samaki.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Mu mambo ya mwili yeule chomboni kwelekea tarasisi.
-Yona mutu wa mungu " " " " "
-Mwalimu wa njia " " " " "
-Muhubiri wa neno " " " " "