N° 351
SAUTI YA MUTU MUMOJA
1.
Sauti ya mutu mumoja ikasemea njangwani tengenezeni njia ya yesu mwana mungu wa uweza.
Refrain
"Tengenezeni wote njia ya bwana yesu "2x wajoli wangu vunjeni milima yote , jazeni mabonde yote nyosheni mapito yake salama duniani pote.
2.
Yoane alimubatiza mwana mungu wa uweza sauti (sauti) ya bwana ikatoka mbingu huyu ndie mwana wangu.
3.
Yoane alikuwa amevaa singa za ngamia na mushipi kiunoni mwake akala nzige na asali.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand