N° 352
MUNGU ILI NENO LAKO
1.
Mungu ili neno lako tulipewa kwa neema (tulipewa kwa sauti ) nikatumikia bwana maishani mwangu mwote .
Refrain
Wandugu tukishinda bwana atatuvwika taji , taji lake la uzima.
2.
Malaika Lucifero alikuwa mwema sana "yeye nyota ya asubui bwana shali mutapika "2x
3.
Watu'awa wa dunia hawakujuwa neno hili , neno lako la uzima tulipewa kwa neema.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com :-Taji ya maombi bwana atatuvwika taji , taji lake la uzima
-Kufariji watu " " " " "
-Kupokea roho " " " " " "