N° 354
UKILA MWILI WANGU
1.
Ukila mwili wangu na kunywa damu yangu una uzima wa milele mauti hautaonja kamwe ~2x
Refrain
Baba sikia kiumbe kienye huhaï , sikia kiumbe kienye huhaï sikia.
2.
Kiumbe kienye huhai kina mufano wa mutu ~ kina mufano wa simba wa ngombe pia na wa tai ~2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com :-Kina mufano wa mutu Sikia kiumbe kienye huhaï sikia
-Kina mufano wa simba " " " " " " " "
-Kina mufano wa tai