ALAMA YA YONA — Cantiques EUJC

N° 355

ALAMA YA YONA

1.

Alam aya Yona kutupwa katika bahari merikebu katabishwa wa kaanza kutupa mizigo wakaanza kuulizana nani mutu alieingia.

Refrain

Kweli kweli Yona wa mungu (yona wa baba.) usinitabishe merikebu na walio ndani yake.

Commentaire

Com :-Muhubiri wa neno usitabishe merikebu na walio ndani yake.

-Mwalimu wa njia

-Mwalimu wa kweli

2.

Yona muboga akamwambia mungu sivema kwangu kwishi naomba nipate kufa.

3.

Jehova mungu akamwambia Yona kitu usicho otesha una kasirikia nini ninawe muji mukubwa ndani yake ni watu ili wa huhiriwe.

Commentaire

Com :-Fungurume muji mukubwa ndani yake ni watu il iwa huhiriwe.

-Kawama " " " " " " "

-Na nguba " " " " " " "