CHANZO CHA HABARI NJEMA YA YESU KRISTO — Cantiques EUJC

N° 356

CHANZO CHA HABARI NJEMA YA YESU KRISTO

1.

Chanzo cha habari njema ya yesu kristo Yoane mwana wa Zakaria kuhani wa mungu , Zakaria hekaluni akichoma uvumba malaika mwema wa mungu akajirika kwake "Zakaria utabaki bubu paka siku Elizabethi atakapo zaa mwana mume ataitwa jina lake Yoane sababu hatageuza mioyo ya wana israeli ~2x

Refrain

Ewe baba ewe mama yu Zakaria (Zakaria) fikili kwa jina gani utakalo ita mwana jamaa lako laitaji aitwe Zakaria ila mungu aitaji aitwe Yoane.

2.

Sikuzilipotimia kwa Ezabeti yeye kweli akazaa mwana mume bahadala jamaa lake lote lika mujia baadala jamaa lake lote lika mujia ili aitwe Zakaria jina la babae.

3.

Yoane akakuwa moyoni mwa Zakaria alikuwa humo nyikani hamukuwa watu "Siku zilipotimia kwa wana israeli chakula chake ni asali pia na nzige "2x