N° 357
APO YOANE AKIBATIZA
1.
Apo Yoane akibatiza watu wote muyordani yesu wa mungu akaja kwake yoane abatizwe. "2x
-Tazameni yoane alipo jizuiza kwa kamubatiza mwana wa mungu yesu kamwambia yoane wetu kubali hivi kwa kutimiza hadi.
-Yoane wetu kubali hivi kwa kutimiza hadi zote.
Refrain
Mbingu zika funguka (zika funuka) roho akamushukia mwana wa mungu sauti ikitoka mbinguni ikisema mwanagu anaeni pendeza yesu kristu anaenipendeza.
2.
Yesu wa mungu utoka inchini mwa galileya uingia akilini mwangu mbingu nazo funguka (ufunuka)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Mufwateni mwanangu anaenipendeza -Yesu kristu " " " " " "