YOANE ALIKUWA MUTANGULIZI — Cantiques EUJC

N° 359

YOANE ALIKUWA MUTANGULIZI

1.

Yoane alikuwa mutangulizi wa yesu "Akapaza sauti yoyoyo mutengeneze mioyo "2x ah! ah

Refrain

Ajapo usiku wala akija muchana tongojenii wote yoyoyo saa ijayo mufalme en ! en tongojenii wote yoyoyo saa ijayo mufalme ah !ah

2.

Yoane alikuwa amevaa singa za ngamia akila asali yoyoyo pia nzige ah ! ah.

3.

Tuu kariri ili twende kwa bwana wajoli wangu yoyoyo mutengeneze mioyo ah ! ah

4.

Nali wambia juu ya kiti cha mungu enyi wajoli wangu ah ! ah kiti kilicho kimbiawa na mbingu dunia nacho ni mbele yenu ah! ah acheni uzushi nyumbani mwa bwana "lli sauti ikae mioyo ni mwenu ah ! ah "2x

5.

Kusogea karibu nyumbani mwa mungu kuna shinda sadaka ya kutolea tu ah ! ah .