N° 36
INCHI KUTOA UMANDE
1.
Inchi kutoa umande kunyesha inchini " Bwana akafanya mutu kwa mavumbi ya inchi "2x
Refrain
Tutazameni , tutazameni , tutazameni bwana mungu akamufanya mutu kamutia mu shambani.
2.
Mungu katazama mutu katika shambani , " mutu huyu asi ishi peke nita fanya musaidizi" kwa udongo bwana akafanya kila nyama , ndege.
3.
Mungu kaleta wa nyama mbele ya mutu, huyu 'Kuona atakavio wa ita ma jina yao" basi tazama ngombe akaitika jina lake la uzima, tazama pusi akaitika jina lake la uzima, imbwa naye akaitika jina lake la uzima " kwa lakini musaidizi hakuonekana kwa mutu"
Commentaire
Com :-Basi tazama pusi akaitika jina lake la uzima -Basi tazama ngombe akaitika jina lake la uzima -Basi kiboko naye akaitika jina lake la uzima
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -kwakuichunga shamba : kamuifanya mutu kamutia mushambani -kwa ku ilima shamba : " " " " " " " " " " "