N° 361
NDEGE ZA MBINGUNI
1.
Ndege za mbinguni wametelemuka leo "Kwa sisi kumuhimidi mungu wetu wa uzima "2x (ushu uda ) ushuhuda wa roho tuliemupata sisi.
Refrain
Eh mungu wangu , mungu nipe roho ili dunia yote ikutambue kwa haki kwa roho ulionipa.
2.
Sauti kutoka mbinguni unena ya kwamba (ulinen a ya kwamba ) huyu ndie mwana wangu mushuhuda mukamilifu, akikisho la mbinguni limetelemuka duniani.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Watu wa dunia wakutambue kwa haki kwa roho ulionipa
-Mataifa yote " " " " "
-Nawa chawi wote " " " " "
-Nawa fumu wote " " " " "