NYINYI NDEGE ZA MBINGU MUPASHENI HABARI — Cantiques EUJC

N° 362

NYINYI NDEGE ZA MBINGU MUPASHENI HABARI

1.

Nyinyi ndege za mbingu mupasheni (enyi ndege za mbinguni) mupasheni habari mu watu ili mungu haimidiwe leo mu dunia.

-Nanyi mbingu ndege mutikisike kweli wokovu leo leo umekuja kwetu sisi , wokovu leoleo umekuja kwetu.

Refrain

Ju ya neno la mungu taenda yoyoyotaenda naye mbinguni.

Commentaire

Com : -Kweli kweli ju ya neno la mungu taenda yoyoyo taenda naye mbinguni

-Nika hubiri neno " " " " "

-Nikafanye faraja " " " " "

-Nikafufue wafu " " " " "

2.

Yesu huyu , yesu wa mungu alikuja duniani kukomboa watu wokovu leo leo umekuja kwetu sisi , wokovu leo leo umekuja kwetu.

3.

Nanyi wake kujeni kwa roho mwema pokeni roho mwema wenu , roho mwema huyu aliwaidia baba zenu roho mwema huyu aliwaidia baba.