YESU AMEZALIWA — Cantiques EUJC

N° 363

YESU AMEZALIWA

1.

"Yesu amezaliwa kule betelemu "2x waakili wa wili kutoka mashariki yoyowe waka fwata nyota nyota kule betelemu yudea.

Refrain

Neno hili litimie la nabii Isaya mutawala amezaliwa yoyoyo mukombozi wa watu mutawala amezaliwa yoyoyo na uzima wa milele.

2.

"Yesu amezaliwa nyumbani mwa wageni "2x wajoli hawakupata fwasi wamuweka mu sanduku la wa nyama tazama ngombe walikuwa mule wakichunga sanduku ya yesu , tazama mbuzi walikuwa mule waki chunga sanduku ya yesu.

3.

"Tazama Herode akatuma wa hakili kwa siri "2x Akapate hakika kwao juu ya ile nyota , akapate hakika kwao ju ya ule mufalme kwa kurejea kwenu mupite hapa basi tazama mungu kaongoza akili nao wakarudi kuume.