N° 364
NIHUBIRI NANI NENO
1.
Ni hubiri nani neno mungu wangu Eh mungu wangu nialike nani bwana anikubali kwa tamaa za feza na mambo ya dunia "Habari njema imechafuka mu watu wa dunia ju ya feza na cheo "2x
Refrain
Ah ! furaha yangu fahari yangu mungu wangu ( mungu wangu ) mateso yangu kuomba kwangu ni katika bwana "Enyi wajoli ogopeni mumbaji uzima wa milele ili baba atukuze mwana daima "2x
2.
Nihubiri neno nalia ( nahubiri neno ) kiasi kinanishinda walio kuwa gizani nao wakaona nuru "nuru kubwa kuwangazia mu mioyo ya watu ju ya roho wa uzima "2x
3.
Muonapo nuru mwamini nuru nendeni nurumi ishio miongoni mwetu "tukuzeni bwana wajoli twamutukuza "2x mu uzima wa milele.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Enyi wa fwatao neno ogopeni mumbaji uzima wa milele ili baba atukuzwe mwana daima
-Enyi waminifu woto " " " " " " " " " " " "