FUNGUO YA KUMBINGU — Cantiques EUJC

N° 365

FUNGUO YA KUMBINGU

1.

"Funguo ya kumbingu , funguo ya majabu "2x ili neno lako baba ndio funguo letu.

Refrain

Nikasikia sauti kama ya maji mengi "Mwito , mwito wa bwana nikaitika mwito "2x

Commentaire

Com : -Mwito wa neno la mungu mwito , mwito wa bwana nikaitika mwito.

-Kwa mahubiri wa mungu " " " " " " "

-Mwito kama wa abramu " " " " " " "

2.

Watu wengi waku misri waliteswa siku nyingi ili neno lako baba ndio funguo letu.