N° 367
BWANA NINAWE MIGUU YANGU
1.
"Bwana ninawe miguu yangu ni kule pasaka "2x Ukinawa miguu yangu nitapata ushirika na bwana.
Refrain
Kwa lakini Petro , Eh Petro akasita sita Eh Petro pasipo kujua.
2.
Petro kamwambia yesu hutanawa miguu yangu "Kwa kunawa miguu yangu uninawe mikono na kichwa pia inafaa kwangu "2x yesu kamujibu eh petro ili ni fanyalo eh petro hulijui hakika utalifahamu baadae
-Yesu kamwambia eh petro mutu akioga haifahi tena kwa kunawa miguu yake .
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Maneno ya mungu akasitasita eh petro , pasipo kujua.
-Maneno ya siri " " " " " "
-Kwa kumutakasa " " " " " "
-Kwa kupewa maji " " " " " "