N° 368
BWANA MUNGU UPENDA
1.
Bwana mungu upenda , babangu bwana mungu upenda kwa sisi kumuhudumia yeye ili tupewe ujira " Baba mungu kumuhudumia yeye ili tupewe ujira "2x
Refrain
Tafakarini jina la yesu mahali pote hili tupewe uweza wa kumuhudumia yakitujia majaribu sisi tusiwe na hofu bali "Tutazameni wote musalaba wake bwana yesu "2x
2.
Bwana mungu upenda babangu , bwana mungu upenda kwa sisi kumuhudumia kwajili ya kutafuta wengine hawa wote wangali katika vifungo hili wapewe huru.
3.
Kazi hiyo ni ngumu babangu kazi hiyo ni ngumu sana muko chuwi na simba wote hayawani wakali hawa wote wapo miongoni mwetu hili kwa kwaribu kazi.
-Hawa wote wapo miongoni mwao hili kwa kwaribu kazi .
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand