N° 37
MUTO KUTOKA EDENI
1.
Muto kutoka Edeni, kunyesha shambani "Bwana mungu akapanda shamba kwa upande wa mashariki ya Edeni"2x
Refrain
Shamba la Edeni shamba lake mungu 2x Eh shamba langu mimi baba , eh baba limekuwa pango la shetani.
2.
Bwa na kapanda shambani , mut iwa uzima kwa lakini shetani naye kapanda mut iwa mauti kweli, kweli shamba langu eh baba shamba langu limearibika.
3.
Mupandaji mbegu akapanda ya gano kwa lakini shetani naye jioni kapanda magugu , kweli , kweli shamba langu eh baba shamba langu limearibika.
Commentaire
Com : -Ulipanda ulozi -Ulipanda fitina -Ulipanda bongo
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Limepandwa na miba -Limejazwa magugu -Limelimwa na watu