IMANI YETU IWE KAMA UPANGA — Cantiques EUJC

N° 370

IMANI YETU IWE KAMA UPANGA

1.

Imani yetu iwe kama upanga e kwa kupasuwa yule muovu shetani .

Refrain

( Yoyoyo) neno la mungu yoyoyo ndilo upanga ( upanga ) wa kupasuwa pasuwa wenye hawa juwi (sikia) "Sikia neno la mungu ndilo upangae wenye imani wata shinda shetani "2x

2.

Imani yetu iwe juu yake kristu e jiwe ambalo wa jengaji walikataa.

3.

Twa juwa kwamba yesu alitufiae kutuokowa katika majaribu.