ALIKUWA MUTU MOJA STEFANO — Cantiques EUJC

N° 371

ALIKUWA MUTU MOJA STEFANO

1.

"Alikuwa mutu moja Stefano "2x Alikuwa mwenye haki machoni pa bwana wayudea waka mchukuwa inje ya muji wa kamuuwa kwa mawe.

Refrain

Ila kwa kujulisha kweli Sitefano (sitefano) ahakafa , mwana wa mungu Sitefano yeye akafa kwa mawe.

Commentaire

Com : -Ila kwa kuhubiri neno sitefano akafa kwa mawe.

-Ila kwa kufunuwa siri " " " " " "

-Ilakwa kuhubiri watu " " " " " "

2.

"Walipo uzunishwa kwa maneno haya "2x "Wakachomwa moyoni mwao wakamusagia kwa meno "2x

3.

Walipo mutupia mawe sitefano "Wakachukwa joo lake watia miguuni mwa Saula "2x