AKIKISHO LA WAPELELEZI — Cantiques EUJC

N° 373

AKIKISHO LA WAPELELEZI

1.

Akikisho la wapelelezi kugelekeza kaburini ku mutazama masiya "Yeye hayuko kaburini kawatangulia galilaya kama alivio warifu "2x

Refrain

Mimi na wambieni wachunguzi wa neno ndie hawa wa amini wa tatu yesu hayuko twondakeni kaburini "sisi tukumbuke alivio tuonesha ni kifa kwajili ya zambi , zambi ya mutu ita ondoka mu watu walio kaburini oh ! yesu washibubiri mawazi yake. "2x

2.

Huyu ni ndege za mbingu "Mupasha habari mu watu habari ni mwana wa mungu "2x

3.

Enyi wanangu wachanga "Nina waonea uchungu ginsi nilivio walea "2x nzige na nge zisi wazuru ndie wale walie ni sumbusha katika uduma za bwana basi watu wa saba hawakukubali neno , hawakuhitaji kwani hawakusadiki ( hawakuamini)