NENO LA JEHOVA — Cantiques EUJC

N° 374

NENO LA JEHOVA

1.

Neno la jehoa ( sauti ya jehoa ) ilikuja kwake yona unena hivi wende kuninawe ubaya wa watu umefika machoni pangu "Nani wangu awambie yoyo kwa kujitengeneza "2x

Refrain

Wakafikiri «( watu hawa wakapiga kura , kura ikamwangukiya muhubiri wa mungu yoyo yo kura ikamwangukiya muhubiri.

Commentaire

Com : -Kura ya watu kura ikamwangukiya muhubiri wa mungu yoyoyo kura ikamwangukia muhubiri

2.

Baadae wakamuuliza sisi tukufanie nini kwa bahari hii kubwa kutilia nani wangu hakawambie yoyo kwa kujitengeneza.

3.

Mu ni nyakuwe munitupe majini (munitupe baharini upepo huu mukubwa yoyoyo ni kwaajili yangu nani wangu awambie yoyo kwa kujitengeneza.