N° 378
HADI YETU NI KARIBU KUJA
1.
«Hadi yetu ni karibu kuja » «wewe ungali unalala roho mwema amekuja »
2.
« Yesu alisema mtu mwenye kunifata» « chukiya baba na mama na udikan mwenyewe »
3.
« Wewe munaziri timiza naziri yako » « uliomba: mungu nichakuwe mimi takufaniya uduma »
Refrain
Ndugu amka twende: « unongoja nini tena roho mwema amekuja»
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand