N° 38
MUTO WA BWANA KUTOKA EDENI
1.
Muto wa bwana kutoka Edeni ukatengwa na vipande vine shambani yoyoyo ukatengwa na vipande vine shambani.
Refrain
Neno , neno lake eh baba limeshuka duniani yoyoyo neno ili neno lake la uzima
2.
Kutoka pisoni , gioni kaona, idekeli kaona , furati ndie uzima"Yoyoyo"
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : Na mitume walishuka na neno Na Kadima alishuka na neno