N° 380
UNIPE SHAMBA LAKO
1.
Unipe shamba lako ni lifuanye langu la maboka kua sababu ni karibu yangu nitakupa mahali pengine.
2.
Na Naboti aka mujibu buana mungu amenikataza ni sikupe ili shamba langu ni uriti wa mababu zangu.
3.
Izabeli kwa sira akachonga kwa watu wa muji na Naboti apikwe kwa mawe, na Naboti akakufa.
4.
Na wewe mujoli shamba lako la bei ni wapi ikikuwa karibu na tiro na wepia utakufa.
Refrain
« Shamba langu, shamba langu mujoli: sitakwachiya wewe »
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand