N° 383
MIMI MSAFIRI NJIANI
1.
Mimi msafiri njiani sina baba sina mama ila mungu peke yake anajuwa tabu yangu.
2.
Bwana yesu alisema baba ndugu yangu mama yangu yeyote timizaye mapenzi ya baba yangu, yeyote timizaye mapenzi alinituma.
3.
Bwana yesu alisema nina enda kwa babangu kuwatayarisha makao tukule mezani moja, kuwatayarisha makao tukunwe kikombe moja.
Refrain
akuna ulozi kua baba yangu: «akuna ulozi kua baba yangu».
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand